Mpoto unazungumza ukweli na kila mtu mzima anaelewa unachokizungumza watu wansema ”mtu mzima hupoma anchokituma kwa jamii” Sisi tunaelewa hutaki kuweka moja kwamoja ukweli wa hali halisi ya sias zetu Tanzania lakini wenye akili tumewlewa. Hongera Mpoto.
Mrisho mpoto sikujua anajua kuoji namna hii/common sense km anajua kuoji kwanini anajiunga na watu wanaoutumia mabilioni kwy miradi bila kupitishwa na bunge au kukaguliwa na CAG!!??
Kama wewe ni kichwa kama mpoto gonga like, mimi nimemuelewa sana hatuitaji kunyamaza hata sisi wengine!
Usiseme mengi
Upo vzr mno
hata mm hilo jambo halikunifurahisha
Safi sana
Kwa mtu mpumbavu kwake ni ushindi lkn kwa mtu mwenye kuona mbali ni hatali kwa usalama wa taifa
Mimi pia sijafurahishwa na Ushindi wa Chama changu kwakweli nauona kama ushindi wa mezani
Great Mpoto
tupate wapi watu kama mpoto.umesema kweli baba.
Mpoto nyoosha maelezo2 hawatakuelewa vibaya maana walichokifanya wanajua wao
Nilijua mrisho mpoto ni mtu wa kushikiliwa kicha kumbe ni kichwa chatanzania
Uhuru wa kuongea bado upo kweli kwenye inchi hii?
Sasa watu wa CCM wapowapi? jamani hamsikii anachoongea mpoto ? Njoon mseme ni kibaraka wa wakolono dadeeki mabichwa makuuubwa akili vijiko...
"Waliopanga yaliyotokea hawana furaha
Waliopangiwa yaliyotokea hawana furaha
Walioshauri hekima hawana furaha
Waliokaa kimya hawana furaha
Wanaounga mkono nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaopinga nilichoandika hapa, hawana furaha
Wanaodhani wana furaha hawana furaha.."
Mjomba nimekuelewa pia nashukulu kwa kutuwakilisha kufikisha ujumbe huu asante sana
Mpoto unazungumza ukweli na kila mtu mzima anaelewa unachokizungumza watu wansema ”mtu mzima hupoma anchokituma kwa jamii” Sisi tunaelewa hutaki kuweka moja kwamoja ukweli wa hali halisi ya sias zetu Tanzania lakini wenye akili tumewlewa. Hongera Mpoto.
Mrisho mpoto sikujua anajua kuoji namna hii/common sense km anajua kuoji kwanini anajiunga na watu wanaoutumia mabilioni kwy miradi bila kupitishwa na bunge au kukaguliwa na CAG!!??
Mrisho anajitambua
Yes Men, Tanzania ni ya watanzania si ya magufuli huyu mnyonyaji.
uyu jamaa macho yake tu ya kinafc