Usajili waongezeka OSHA, baada ya kuondoa Tozo, Ada ya usajili na Ukiritimba

Share
Embed
  • Loading...
  • Published on:  Sunday, November 3, 2019
  • Imeelezwa kuwa usajili wa maeneo ya kazi unaofanywa OSHA, umeongezeka zaidi ya mara sita (6) toka utekelezaji wa Blue Print uanze, hayo yamesemwa na Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA, Bi Khadija Mwenda, wakati akifungua mafunzo  maalaumu ya usalama na Afya kwa waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam.
Loading...

Comment