ESHA BUHETI:YUSUPH MLELA HANA KAZI ALIKUWA ANALISHWA NA EBITOKE/ANABABAIKA NA BEYONCE WA BUZA

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Tuesday, November 12, 2019
 • EXCLUSIVE INTERVIEW
  Guest: Esha Buheti
  Host: CB Sniper
  Shot&Edited by KMB

  #ebitoke #yusuphmlela #eshabuheti
Loading...

Comment

 • Saada s Omar
  Saada s Omar  15 hours ago

  Sauti kama spika ya msondo hahahah

 • Tausi fungameza

  Yaaani nimekupenda bureee Esha

 • Linet Joy
  Linet Joy  2 days ago

  "ajiheshimu na haeshimu wanawake" nimempenda bure mwana dada huyu

 • Kibibi sherry Sherry

  Isha nakupenda bure 😍 😍

 • Vicky John
  Vicky John  5 days ago

  Esha uko vzr wanawake wote tungekua hivyo hakika maisha yangekua poa sana

 • Paskii Slaa
  Paskii Slaa  7 days ago

  Dah jamn dada cjaona mtu km wewe, waambiye hao hawajielewi

 • huruma sigala
  huruma sigala  7 days ago

  Nakupenda sana Esha mwenyez mungu akupe maisha marefu

 • Recho Mwenda
  Recho Mwenda  14 days ago

  Mpe dada huyo mwanaume analishwa na mwanamke teeeee yatamshinda

 • Fatuma Murshid
  Fatuma Murshid  14 days ago +1

  Walikuja na Bodyguard wann sasa

 • Suzy Mgaya
  Suzy Mgaya  14 days ago +1

  nakupenda sister

 • Princess Nab
  Princess Nab  14 days ago +1

  Nakupenda San Isha dad

 • Spice gal
  Spice gal  14 days ago +1

  Umenena dadake

 • Zuu Mus
  Zuu Mus  14 days ago

  Kama umesikia Beyonce wa buza gonga like twende sawa

 • Fadia Sly
  Fadia Sly  14 days ago +1

  Nakupenda Buheti ki ukweli Mlela anazeekea kwa Mama yake na sura lake kama la Awilo Longomba 😀😀

 • Fatma Lusulo
  Fatma Lusulo  14 days ago +2

  Nmmh yusufu jina lako umeliabu fyuuu😏

 • Agnes Peter
  Agnes Peter  14 days ago

  mlela kwa alipofikia anatakiwa ajiheshimu.....muigeni hata Mr. Blue na wengine. fuata ushauri wa dada ako jiheshimu tu

 • snoohTECH
  snoohTECH  14 days ago

  Ninasubscribe kwa kila atakaesubscribe kwenye channel yangu ukimaliza comment done nitafanya hivyo

 • Lucy Lyimo
  Lucy Lyimo  14 days ago

  Je unasumbuliwa na magonjwa yafuatayo:? ~ Kisukari
  ~ Kansa
  ~ Presha (BP)
  ~ Magonjwa ya macho
  ~ Magonjwa ya ngozi
  ~ Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
  ~ Matatizo ya kipindi cha hedhi kwa wanawake
  ~ upungufu wa CD4 virusi vya ukimwi
  ~ Magonjwa ya moyo
  ~ Kupooza (stroke)
  ~ Hamu ya kula
  ~ Asthma
  ~ Allergy
  ~ uzito uliozidi
  ~ sumu kujaa mwilini kwa hali ya juu
  ~ Changamoto za kubalance homoni
  ~ lazy brain ~ una lala fofofo na unaamka mwenye uchovu
  ~ Vidonda vya tumbo na kujaa gesi tumboni
  ~ Mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
  ~ Matatizo ya mgongo
  ~ Viungo kupata ganzi
  Virutubisho hivi vimetokana na: - matunda ya kwenye bustani,
  - matunda ya mwituni, - mboga aina ya Spirulina family , - mboga za baharini, - majani na miamba ya kando kando ya bahari - Aina tofauti ya uyoga wenye ubora wa Hali ya juu
  – Vyote hivi ndani ya food supplement
  Kindly,, Whatsap +255659198993

 • Reinhard michael
  Reinhard michael  14 days ago +2

  M still naona mlela yupo sahihi coz esha anazungumzia upand wa maumiv ya ebitoke lkn hatujui chanzo cha mlela kubreak up letz see the second side of the coin
  Xtill mlela iz right BT what happened iz mistake in progress

 • Furaha Sist
  Furaha Sist  14 days ago

  ndy mpk raha