Kauli ya Kikwete Iliyo Chafua hali ya Hewa Nchini "Mwenye ajitetea hakuwa anamsema Magufuli"

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Friday, October 11, 2019
Loading...

Comment

 • Seif Lucas
  Seif Lucas  21 days ago

  Uwanja wa siasa mim cmo 2mbo langu kwanza

 • Ramy Gichero
  Ramy Gichero  21 days ago

  Mzee kikwete ulitakiwa ukaingozee United states of America una akili nyingi sana Mzee wetu namani nikuone nakupenda sa raisi wangu

 • Ramy Gichero
  Ramy Gichero  21 days ago

  Ameongea maneno ya kwaida sana Wala haja kitu cha kuchafua hali ya hewa waandishi wa habari mnzidisha unafki na kuchochea mambo madogo kuwa makubwa

 • Aziza Uledi
  Aziza Uledi  21 days ago

  Ndio magufuli alivyo jitolea kutumikia watanzania free acheni zengwe .muda wa tourist umepitwa na wakati magu tutengezee nchi achana na polojo

 • Edwin Mbelle
  Edwin Mbelle  21 days ago

  Naona rais wetu mpole mnoo maana bado watu wanaendelea kuiba hasa kwenye miradi ya maji.
  Hakuna nchi duniani imeendelea kirahisa lazima tufanye kazi na aendelee kutumbua kwa bidii,
  Maana viongozi wetu wanaubinafsi wanaota kujitajirisha kama kupe wanyonge wanateseka.

 • S MWANSASU
  S MWANSASU  21 days ago

  kwenye msiba wa Mandela ulitoa speach nzuri sana. You did very well kuwakumbusha jinsi Nyerere alivyopigania uhuru wa Afrika nzima.

 • S MWANSASU
  S MWANSASU  21 days ago

  Bravo my President J. M. Kikwete. Good speech!!! We still remember you for the peace that prevailed and how you allowed people to oppose you without any fear!!!! I like the statement, and I quote "kujimwabafai/fy mwabafai/fy hivi hakukufanyi wewe kuwa kiongozi zaidi"

 • Matteus Cyruss
  Matteus Cyruss  21 days ago

  Ah watu bwana nikajuwa sijuw kasem nini kumbe wala havihusiani mbona rais wetu wa sasahivi ni humble saana tena kuliko hata yeye sasa watu mmewaza nini hapo

 • Steven Ezekiel
  Steven Ezekiel  21 days ago +1

  Fisadi mkubwa

 • Dennis Stafford
  Dennis Stafford  21 days ago

  Afande sele analysis your speech just shut up

 • Samson Mathew
  Samson Mathew  21 days ago

  Mjusifai akiji mambafai ni aibu kwake mwenyewe, ubabe ni mambo ya kizamani kikubwa zaidi ni kama humpendi nwanadamu mwenzako ni nguvu sana kumpenda Mungu

 • Saphia Dee
  Saphia Dee  21 days ago

  Wazee wa pwani bn wanatupa mawe gizan halfu ajikausha

 • Peter Alfonce
  Peter Alfonce  21 days ago

  Rakini ukumbuke INCHI umeiacha inanuka uvundo inatoa usaha

 • Fedson Kuyenga
  Fedson Kuyenga  21 days ago

  Mlichoandika kama kichwa cha habar na kinachoongerewa ni tofauti kabsa mnakera sana nyie on line tv ndo maana mm siwaamini mnadanganya watu ili kupata views wengi mnatakiwa mfungiwe

 • Francis Kavyega
  Francis Kavyega  21 days ago

  Mwalimu alisema hata wakisema huyo huyo ,usigeuke nyuma ..

 • Onesmo Metili
  Onesmo Metili  21 days ago

  Kikwete alijimwambafai kwamba anaweza, kwa sura, maneno lakini kikwelikweli performance yake ni zero. Huyu, ndio anajimwambafai. Yaani anajifanya anaweza angali sivyo, maneno tupu. Magufuli hajimmwambafai Bali anaweza kwa kudhamiria. Ni mwamba kweli kweli.

 • Aloyce Mwakatala
  Aloyce Mwakatala  21 days ago

  Tutumie fulsa hii kuwakumbuka watoto wa marehemu.

 • hamisi kaliza
  hamisi kaliza  21 days ago +1

  We muachie JPM apige kazi, acha majungu mzee we zilipendwa tu, omba mwisho mwema tu usije kuwafia watu vibaya.

 • Andrea Jeremia
  Andrea Jeremia  21 days ago

  Kama ingekuwa kurudia kugombea ukagombea wewe tena,Mimi ningehama nchi kabisa.! si Kwa uongozi ule hapana.!

 • Faustine Kiwia
  Faustine Kiwia  21 days ago

  Makufuli.tia ndani.huyu kikwete