WAKILI MFUNGWA: Alois Onyango anawatetea wafungwa wenzake mahakamani

Share
Embed
  • Loading...
  • Published on:  Sunday, November 18, 2018
  • Mfungwa mmoja anayetumikia kifungo cha maisha amegeuka kuwa wakili na kuwasaidia zaidi ya wafungwa watano waliofungwa kifungo cha maisha kuachiliwa huru.Japo Alois Onyango hakusomea sheria, mfungwa huyo amejikaza na kujisomesha akiwa gerezani na kuwa afueni kwa wafungwa kadhaa, wengi ambao hupatikana na makosa kwa kushindwa kujitetea mahakamani.
Loading...

Comment