FAMILIA YA BINTI ALIYEFIWA NA WAZAZI WAUMIZWA NA VIDEO ZA BINTI HUYO KUSAMBAA MTANDAONI

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Sunday, November 17, 2019
Loading...

Comment

 • CAROLINE OMWOK
  CAROLINE OMWOK  1 months ago

  Call me Whatsapp +97335534236

 • Kwizera Elly
  Kwizera Elly  1 months ago

  Pole sana wanafamilia.Mungu awatie nguvu.

 • Taus kasim Kassim
  Taus kasim Kassim  1 months ago

  Yani baba angu umeongea pwenti sana kwanza ni siouzuri kurushamitandaoni baadhiyamengine Kama vile analia kulalamika yotote wameyarikodi daa siofeaa ikera asa nainaumaa kiufupi tuacheni tabiahii

 • Hidaya Kambangwa
  Hidaya Kambangwa  1 months ago

  Pole sana Anna mungu akupe nguvu

 • Neema Mwiza
  Neema Mwiza  1 months ago

  Jinga wewe unahoji vitu gani sasa boya wewe umekosa vya kuuliza

 • d n .n
  d n .n  1 months ago

  Pole sana mungu hawape nguvu

 • Rahima Aaaa
  Rahima Aaaa  2 months ago

  Vyombo vya habari na watu.wengine wasiruhisiwe tena kumuhoji.

 • Bernadetha Thomas
  Bernadetha Thomas  2 months ago

  Inasikitisha kwakwel pole mdg wangu Anna mungu akupe faraj

 • cosmas nape nape
  cosmas nape nape  2 months ago

  Polen sana kwa msiba mungu awatie nguvu kwenye kipnd hich cha majonz

 • Asia Mdachi
  Asia Mdachi  2 months ago

  Pole sana

 • Namnyaki John
  Namnyaki John  2 months ago

  MUNGU atakutia nguvu Ann mungu akupe maisha marefu uendele au ufike malengo yako pole sana

 • sir kipingu
  sir kipingu  2 months ago +2

  Shida mnawapa nafac hawa bongo muvi, ,maisha yao yote yapo kwenye mitandao kila cku.yaan wao kila cku ni mapicha picha tu. .sasa wanataka kuchukua majozi ya mtoto kuwa fulsa kwao

 • Sanura issa
  Sanura issa  2 months ago +4

  Nikweli sio vizuri lakini ndio chanzo chawatu kupata taharifa kwa wengi na pia inasaidia kupata maombi ya watu wengi kama ingekua kimyakimya sidhani kama watu wangeumia ila watu tunamuona ndio mana watu wengi wamejitokeza nimaoni yangu tuu vyombo vya habari vina msaada sana tena sana kikubwa tumuombee mungu amtie nguvu maana hiki kipindi kiacheni kabisa

 • Nadya Kisho
  Nadya Kisho  2 months ago

  polen sn wafiwa mungu azid kuwap nguvu

 • Jobama Mpuya
  Jobama Mpuya  2 months ago +1

  Lipo kusudi Jema kwa BWANA hakika tuamini juu ya KUSUDI LA MUNGU.
  pole sana familia.

 • Rhoda Seni
  Rhoda Seni  2 months ago +1

  Mungu ajuaye kufariji kwa faraja isiyo na kikomo,amfariji Anna na familia,IPO siku haya yote yatakoma ktk nchi mpya na mbingu mpya,Yesu atafuta machozi,hakutakuwepo na vilio wala maombolezo,poleni sana jamani

 • Batuli Mabewa
  Batuli Mabewa  2 months ago

  Nikweli kabisa alichoongea mimi binafsi nikimuona Anna anavyolia nami najikuta nalia pia

 • Sirillah Yusuph
  Sirillah Yusuph  2 months ago +1

  Pole san mung awe n ww katik hiki kipind kigum unachopitia

 • calvin kitaly
  calvin kitaly  2 months ago +1

  Ukisikia kujifunza kupokea ndio hii mungu MPE ujasiri

 • Sada Said
  Sada Said  2 months ago +1

  Poleni Sana Mungu Awapoze nyoyo zenu