UCHAMBUZI Shafih DAUDA: Yanga SC vs PYRAMIDS FC , kikosi cha Bilioni 52

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Wednesday, October 9, 2019
Loading...

Comment

 • Kassid Pandu
  Kassid Pandu  1 months ago

  Yanga ni dhaifu hapana pesa pale hawezi kufunga timu hata ndanda haiwezi jee piramid

 • Juma Mrisho
  Juma Mrisho  1 months ago

  kwauwezo wamungu tutashinda nayatakiwa namidomowazi makimbizi

 • Al Lec
  Al Lec  1 months ago

  Hebu tufocus namna ya kuisadia Klabu ya Yanga ili ijiandae vizuri kwenye mapambano na sio kudeal ni kwanini wamehamisha mechi kuipeleka CCM Kirumba huu mjadala ufungwe tunapoteza muda kujadili mambo ya uwanja na tunaacha mambo ya msingi ambayo ni maandalizi kwa ajili ya mechi yenyewe!

 • brian _xxiv
  brian _xxiv  1 months ago +1

  mbona gharama ya kikosa ni Bil 52 na gharama iliotumila kusajil hao inazid 52??

 • Nasibu Gunda
  Nasibu Gunda  1 months ago +1

  Yanga itashinda nyumban
  Nawaambia yanga mkiamua kushinda mshinde goli kuanzia 5
  Sasa jishaueni

 • Said Ramadhan
  Said Ramadhan  1 months ago +1

  uzuri wa mchezo ni kujiamini na naamini ushindi upo tu hapa kazi tu

 • Rajabu Hussein
  Rajabu Hussein  1 months ago +3

  Jaman siku zote pesa haichezi uwanjani,,chaajabu ni kwamba na sifa zote hizo za timu pinzani lakini uwezo wao wa kuchukua kombe la ligi tu ni shida ,,mie naamini hao ni wa kawaida tu kwahyo cha msingi Yanga nikucheza kwa bidii na kujituma watapata matokeo mazuri wasiwe na hofu yoyote.!!!

 • Abuy Abally
  Abuy Abally  1 months ago +1

  sevila inathamani ya bilioni 400 mbona imehenyeshwa ulimi njee na kuruhusu kufungwa goli nne japo waloshinda tano mpira ni uwamjani hivi ile team ya kenya ilioifunga evarton vp hapo

 • Osward Mwambete
  Osward Mwambete  1 months ago +1

  Pyramid ni vibonde hata kwao iwe sembuse yanga hata mkafanye mazoezi kuzim pyramid ni tofuti kabisa na zesco mbali sana tu. pyramid sio meza sijui mtapinfua nini sijui au mtapindua jamvi

 • Ibra Yakub
  Ibra Yakub  1 months ago +1

  Mjipe moyo tu yanga ila hapo hamna chenu mnapigwa nje ndani

 • Emmanuel Assenga
  Emmanuel Assenga  1 months ago +1

  Bora hata Zesco,

 • Adam Mj
  Adam Mj  1 months ago +1

  Kiukweli Yanga ishatolewa labda miujiza tu, tatizo hawana uwezo wa kutengeza nafasi za kufunga, midfielders dhaifu, kama wangekuwa na wachezaji wenye uwezo wangeweza kupambana

 • suleiman makongoro
  suleiman makongoro  1 months ago +1

  Hawa jamaa siwaelew maana ukichukua jumla ya bilioni zilizotajwa na huyu jamaa ni zaid ya thaman inayotajwa ya kikosi kizima bilioni 52 , Wajue kuwa sisi hisabati tupo vizuri

 • seleman mussa
  seleman mussa  1 months ago +1

  Hizo kelele zenu tu Mijusi SC, Yanga siyo kama nyie, bilioni ndio kitu gani...toeni makele yenu hapa na kwa taarifa yenu hao lazima auawe na mwili wa marehemu utasafirishwa...

 • Hamza Mruma
  Hamza Mruma  1 months ago +1

  Hata wawe ni kikosi bora vipi lzm wakae

 • Wachapakazi hot Media
  Wachapakazi hot Media  1 months ago +1

  Kama unaamini yanga ataumia umri gonga like

 • Chembe John
  Chembe John  1 months ago +1

  Hata azam...kule zimbabwe walinadiwa hvyo hvyo....kilichotokea nyie mnajua kwa triangle.yANGA waleeeeeee makundi

 • Abubakary Ngajima
  Abubakary Ngajima  1 months ago

  Waarabu Daw yao mnyma tuu

 • Hamis Juma
  Hamis Juma  1 months ago +1

  p juuuuuuuuu

 • HACS POiNTS
  HACS POiNTS  1 months ago +2

  Tusijisahaulishe kwamba Yanga wakijipanga 52B sio point Wala goli!
  Tusajili laini za simu, kupata namba ya NIDA kwa urahisi kabisa njoo kwa channel yangu kwa kugusa tu HACS POiNTS Hapo juu!