Mkwamo wa KNUT na TSC

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Saturday, July 20, 2019
 • Sasa muungano wa walimu wakuu wa shule za upili umeiunga mkono tume ya kuajiri walimu nchini TSC kutaka kesi inayopinga nia ya tume hiyo kuwahamisha walimu kutoka sehemu moja hadi nyingine na pia kuwataka kujaza fomu za kutathmini utendakazi wao, itupiliwe mbali. Chama cha waalimu nchini KNUT kilichowasilisha kesi hiyo mahakamani kimeonekana kutengwa na vikundi vingine vinavyounga mkono azma ya TSC.
  Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

  This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

  Follow us:
  http://citizentv.co.ke
  https://twitter.com/citizentvkenya
  /Citizentvkenya
  https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
  https://instagram.com/citizentvkenya
Loading...

Comment