Jay Melody - Nakupenda (Lyrical Video) English version

Share
Embed
 • Published on:  Thursday, August 25, 2022
 • Nakupenda - 5804750 ( SKIZA )


  Due to the great need of people to understand the meaning of this song, we have tried to bring the English version to make it easier for many people.Enjoy good music  VERSE 1
  iwe giza baridi na upepo
  iwe kuna mawingu na minyesho
  your body baby joto

  unafanya nijihisi special
  unanipa sababu ya uwepo
  kando yako we mtoto

  my desire
  we nipe dawa
  mi mahututi
  sijielewi ooh my god

  BRIDGE
  shida ni nimekolea penzini
  shida ni baby uko moyoni
  wewe

  CHORUS
  nakupenda we
  nakutaka we
  kwako sijiwezi
  oooh my love

  mpenzi we
  roho yangu we
  kwako sjiwezi
  oooh my love

  VERSE 2
  Akili mwili baby
  hasira yangu navituliza
  ukiongea nasikiliza yote
  sababu ya upendo

  pili pili baby
  vindimu chumvi ya kunyunyiza
  yani uroda kupitiliza
  nimeumaliza mwendo

  kiukweli
  napendwa
  nachanganywa
  na haya ma-raha

  BRIDGE
  Shida ni nimekolea penzini
  shida ni baby uko moyoni
  wewe

  CHORUS
  Nakupenda we (anhaa)
  nakutaka we (oh nana nana)
  kwako sijiwezi
  oooh my love (oooh my baby)

  Mpenzi we (ooh nonono)
  roho yangu we(aaah yayaya)
  kwako sijiwezi (ooh uoh)
  oooh My love (oooh naneh)

  https://smarturl.it/jaymelodynakupenda

  Contacts:
  :
Loading...

Comment