SAMATTA AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA DAR

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Thursday, October 10, 2019
 • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
Loading...

Comment

 • Baby Nkossa
  Baby Nkossa  1 months ago

  Mashallah,huyu kijana ni wa aina yake,hana mashauzi,ameitawala pesa,sio pesa imemtawala,yaani yuko cool sana,ni mfano wa kuigwa,tabia zake ni za utulivu sana,hongera wazazi kwa malezi mazuri,hata ukiangalia video hii utaona kabisa anamsikiliza mzazi kwa kiwango cha juu sana,na pia mzazi ana maelekezi mazuri sana.Tumwombe Allah amjaalie katika ndoa yake,wawe na kizazi chema na maisha yenye mapenzi halisi.

 • princess aidal
  princess aidal  1 months ago

  Kila LA kheri Samata

 • Stanley Henrish
  Stanley Henrish  1 months ago +1

  Sasa hapa ile midemu iliyo kua inajipendekeza kwa captitho kama nawaona miwivu inavyo mwagika congratulation to my National team capten

 • Aziza Uledi
  Aziza Uledi  1 months ago

  Hongera sana Allah akuongoze ufate maadili mema ya dini yetu islam mashaa Allah

 • Aziza Uledi
  Aziza Uledi  1 months ago +1

  mwenyezi mungu akujalie mke mwema nakizazi chema kinakachukuwa na hafu na Allah well done

 • Kalthom Kalthom
  Kalthom Kalthom  1 months ago

  mashaallah

 • Hussein Karim
  Hussein Karim  1 months ago

  Samata katunyima pilao

 • Juma Kapilima
  Juma Kapilima  1 months ago

  Ni somo!!!

 • Ramadhani Ahmad
  Ramadhani Ahmad  1 months ago +1

  Mwenyezi mungu hawajalie kheri na baraka. .
  Mmetimiza nusu ya dini .
  Hongera sana strike mkali Africa. .
  Alhaji Mbwana Ally Samata

 • Harold Ukason
  Harold Ukason  1 months ago

  Hakika Mbwana Samatta anajielewa. Ingekuwa wale watoto wadogo wangealika wale wanaokujaga na mabaunsa 8 na kushindana na manguo yasyoelewaka kuleta nuksi kwenye ndoa. Hongera dogo utazid kufika mbali sana.

 • muh rajovic
  muh rajovic  1 months ago +1

  Kuna vitu ni vya thamani mno Allah akikupa useme Alhamdulillaah na akimpa mja basi muonee wivu (wivu wenye faida) kama huku' KUTOJIONESHA mbele ya watu

 • Ahd Ahmed
  Ahd Ahmed  1 months ago

  Maashaallah

 • seif saidi
  seif saidi  1 months ago

  mashaAllah

 • Abdulihafidh Ali
  Abdulihafidh Ali  1 months ago +1

  Home is home.hongera sana kk

 • Amina Khatibu
  Amina Khatibu  1 months ago

  Hongera Mbwana Samatta

 • HIZZA MTUNGUJA
  HIZZA MTUNGUJA  1 months ago

  amehalalishiwa maana watoto wawil hakumbuki ndoa, allaah amsamehe

 • Keppa Blanko
  Keppa Blanko  1 months ago +1

  Congratulation capitano God bless you

 • SUMAYA FISSOO
  SUMAYA FISSOO  1 months ago +1

  Manshaallah sama goli Allah awatangulie katika maisha mapy ya ndoa

 • MALENGA WA TAIFA
  MALENGA WA TAIFA  1 months ago

  Usiache kuangalia shairi la DORIANI na ku subscribe channel yetu https://youtu.be/uAHi40T7Yvk

 • Upanga Mkali
  Upanga Mkali  1 months ago +2

  MTUME ANA SEMA A SIMPLY WEDDING IS A BLESSING WEDDING.......MABROUK BRAZA SAMMATA.