KAULI YA KWANZA BINTI ANNA ALIYEFIWA NA WAZAZI "NAOMBA MSINIACHE"

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Sunday, November 17, 2019
 • Hayo ameyasema mchana wa leo baada ya binti huyo kutembelewa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John Kingu ambapo aliahidiwa kusaidiwa na serikali mpaka malengo yake yatakapo kamilika.


  Kauli hiyo aliirudia tena baada ya kutembelewa na Msanii wa muziki wa Asili, Mrisho Mpoto, muigizaji Batuli pamoja na Walu Sengo.
Loading...

Comment

 • Rose Egaly
  Rose Egaly  7 days ago

  Aisee avumiliki pole mwanangu

 • Caroline Omwok
  Caroline Omwok  21 days ago

  Pole sana siz Anna 🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️

 • Roida Machupa
  Roida Machupa  28 days ago

  So painful

 • Mussa Paul
  Mussa Paul  1 months ago

  Huyo mtoto ukimgusa miaka 200 jela

 • Witness Chezue
  Witness Chezue  1 months ago

  Mungu wew wajua anayopitia mtot huyu mlinde wew ndio umeruhusu haya yote

 • zanzi 59
  zanzi 59  1 months ago

  Mungu mlinde na mpe nguvu huyu binti. Pole sana na poleni sana wana familia .

 • Imelda Ndimbo
  Imelda Ndimbo  1 months ago

  Pole mdogowangu Mungu atakufanyia wepesi

 • Lulu Mbakilwa
  Lulu Mbakilwa  1 months ago

  Jaman nashindwa kujizuiya kwakweli pole San mdogo wangu anna mungu yupamoja nawe naumia sana

 • Eve Hezron
  Eve Hezron  1 months ago

  Pole sana mungu akutie nguvu.

 • HAPPYNESS MICHAEL
  HAPPYNESS MICHAEL  1 months ago

  Jamani inasikitisha, Mungu amtunze.

 • Alicia Kamau
  Alicia Kamau  1 months ago

  Jesus Christ kichwa chauma mungu wangu pea huyu mtoto nguvu..😢😢😢😢

 • Edwina Elisha
  Edwina Elisha  1 months ago

  Daaaah!! inauma sana lkn mungu yupo atakupa moyo wauvumilivu

 • Isack Koloseni
  Isack Koloseni  1 months ago

  Mungu wewe ndio kila kitu kwetu sisi wanadamu naomba usimuache motto Anna kwani ni kipindi kigumu sana kwake.

 • Leeroy Sylvano
  Leeroy Sylvano  1 months ago

  Huyu mtoto anahitaji psychological counseling & treatment ya kutosha maana hiyo hali aliyo pitis kisaikolojia ni traumatizing.
  Kwakweli serikali ijitahidi zaidi katika kumfatilia zaidi na zaidi maana pigo alilo pata ni kubwa sana kwa umri wake kuhandle.

  Shukran kubwa zifike kwa wizara husika. Eeh Mungu umpe moyo wa uvumilivu binti huyu kwani hili ni kubwa kuliko uwezo wake..

 • Sidi Katoi
  Sidi Katoi  1 months ago

  Pole sana mdogo wangu😭😭😭😭

 • Lucia Sampamba
  Lucia Sampamba  1 months ago

  Mungu ni mwema atamlinda

 • cindy macho
  cindy macho  1 months ago +1

  Unauma sana. Dogo mungu atakushika mkono bwana YESU hatakuacha ufedheheeshwe na Dunia .

 • Kevin Lucas
  Kevin Lucas  1 months ago

  Anna pole sana mdogo wangu ni mapito tu mungu atakutia nguvu inauma sana

 • Rhina Gigi
  Rhina Gigi  1 months ago

  Poleni sana wapendwa, Mungu awatia moyo😭😭😭😭

 • WCB elisha leonard
  WCB elisha leonard  1 months ago

  pole sana