HABARI NZITO ILIYOTUFIKIA HIVI PUNDE, MAGUFULI ALETA NOMA LINDI ' njoo hapa unaogopa nn leta ripoti'

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Monday, October 14, 2019
 • Rais Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi
Loading...

Comment

 • Suleiman khamis
  Suleiman khamis  1 months ago

  dah ama kweli hapa kazi tu

 • Bahiya Lumelezy
  Bahiya Lumelezy  1 months ago

  Hongera sana mh rais kwa kuonyesha moyo wa upendo kwa kuwapongeza watangulizi wako furaha yetu ni kukuoneni mkiwa pamoja kwa upendo na amani inshaallah mungu akuepushieni husda.mungu ibariki tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤

 • michael mabula
  michael mabula  1 months ago +1

  Kwawenzetu watu kama hawa wanawahitaji sana ili wazijenge nchi zao, lakini sis waafrika tunawazihaki na kuwaita wanag'ag'ania madalaka tutaendelea kuitwa bala masikin kwasababu tunachezea misaada ya mungu, watu kama hawa ni adimu sana duniani . yukowapi nyelele, gadafi, mandera, Mugabe, Leo tunawasema vizuru walipotutoka . mungu endelea kuiangalia afrika

 • Jimson Ndingwi
  Jimson Ndingwi  1 months ago +2

  Mh. Magufuli wanyoshe ipasavyo walisha zoea ndio maana mpaka leo bado wanajaribu kuendelea na wizi. Mzee ingekuwa mimi ndo napanga uwe Rais ningekupa miaka 30 au 40.

 • Paulo Mwashinga
  Paulo Mwashinga  1 months ago +2

  Viva magu nakukubali sana mkuu

 • ALBERT Nshunju
  ALBERT Nshunju  1 months ago +3

  Wanaosema hafanani ni kweli hawafanani kwa sura ila kwa vitendo hawa watu wawili ni mapacha jamani

 • ALBERT Nshunju
  ALBERT Nshunju  1 months ago +1

  VIVA MAGU VIVAAAAAA

 • Muzne Ali
  Muzne Ali  1 months ago +2

  Mkapa akaviuza vyote

 • BkA Tricals Tv
  BkA Tricals Tv  1 months ago +2

  kitaeleweka tu mbona watu wata nyooka anko magu wajibika

 • Osward Mwambete
  Osward Mwambete  1 months ago +4

  Mlio toa vitisho vp Matumbo mnajisikia kua na mimba ya miezi mingapi? na mnajifanya wakubwa mtaharisha tu

 • Mange Gervas
  Mange Gervas  1 months ago +3

  Rais songa mbele yupo pamoja kujenga nchi. We we ndo dereva wetu shupavu

 • Jackson Bohbahck
  Jackson Bohbahck  1 months ago

  Sasa vijana sita wakimbiza mwenge ni taifa la kesho au ni marehemu wa hivi karibuni..?

 • Ramadhan Ahmad
  Ramadhan Ahmad  1 months ago +4

  Hayo ndiyo majopu yalobaki.Magufuli Fanya kazi. Nakuaminia.

 • Epafra Ngweshemi
  Epafra Ngweshemi  1 months ago +1

  Wale wa mafichoni wanajaribu kutafuta msemaji au...?

 • Mathias Msese
  Mathias Msese  1 months ago +4

  Huyu mzee hapendagi maigizo. kazi ipo.

 • Freddy Mello
  Freddy Mello  1 months ago +6

  A genius leader of Africa....a true son of Tanzania.

 • Boniphace Tano
  Boniphace Tano  1 months ago +5

  Good leadership is possible in Tanzania under magufuli

 • Andrea Fransisi
  Andrea Fransisi  1 months ago +6

  Hapa kazituuuuuu

 • Roger Kuoko
  Roger Kuoko  1 months ago +12

  jamani tumwongezee tena miaka 10 kwani atafanya zaidi ya haya

 • Khalfan Omar
  Khalfan Omar  1 months ago +3

  Wanyooshe mzee