YANGA YATAMBA KUIFUNGA PYRAMIDS FC YA MISRI MABAO MATANO KWENYE DIMBA LA TAIFA

Share
Embed
 • Loading...
 • Published on:  Thursday, October 10, 2019
 • All sports, all the time, all Tanzania, Africa and the rest of the world. All sporting previews, results, reviews, breaking news, transfers and updates. Football, athletics, track and field, motorsport, basketball, vollyeball and other sporting news.
Loading...

Comment

 • Mussa Yusuph
  Mussa Yusuph  21 days ago

  Safi Kazi nzuri ya hamasa imempata mkunaji!!

 • David Sonjoro
  David Sonjoro  1 months ago

  Wakikaaa vibaya hata 10 watachezea

 • Francis Jonathan
  Francis Jonathan  1 months ago

  mnajua nyie mnaongea tu hamjajua watu wa misri waulizein simba

 • Francis Jonathan
  Francis Jonathan  1 months ago

  hoho fc

 • Ramson Ndege
  Ramson Ndege  1 months ago

  Daima mbele nyuma mwiko

 • daily news and lough

  mbwaaaa,ww,amna k2

 • Ramadhan Mafunde
  Ramadhan Mafunde  1 months ago

  Namuomb huyu msemaje akiwa mjengoni avae jezi ya yanga

 • Musa Machevu
  Musa Machevu  1 months ago

  Uyu mjomba domokaya goli 5 kunduuuuuu kwa time ipi?

 • Siwema Mahenge
  Siwema Mahenge  1 months ago

  Mi na naona bola angebaki dismas teni, anatukana matusi et maboya wakati yeye ndo boya, yani yanga ishinde 3 nyumbani hafu ikafungwe moja ugenini, huyu msemaji maandazi

 • mohamed shaban
  mohamed shaban  1 months ago

  Hamna kitu huyu jamaa anajitahidi kujichekesha chekesha tu hapo sio harusini mzee baba

 • Hassan Abo
  Hassan Abo  1 months ago

  kweli mpira umevamiwa yaani uyu jamaa unaona kabisa kunasehemu anafiti vzuri sio uku alipokuja kwakweli yaani unamuona anajikakamua kuongea kama nni manake yeye kuangalia pembeni pembeni yaani anauhakika ata anachosema duuu

 • Kemd Raphael
  Kemd Raphael  1 months ago

  Tnawapig kirumba haooo pyramids

 • Jamaa Ame
  Jamaa Ame  1 months ago

  Unaishu wewe siyofaniyako kuongea

 • Godius Kahyarara
  Godius Kahyarara  1 months ago

  Msemaji wetu sawa lakini punguza msigizo la maneno ya kolagjhai. Lets be serius..Kuna minongono mitaani kuwa kuna Wachezajihawajalipwa toeni kaulu..Hivi vimechi vya majaribio ni hafifu mmno..

 • Samwel Simon
  Samwel Simon  1 months ago

  Nani anafunga wakati mpakaleo kocha hanakikosi chakwanza

 • Saleh Dogo
  Saleh Dogo  1 months ago

  Mwarabu anakulatende na maziwayangamia ww unashindia dona wapi na wapijombaaaa usiwadanganyewenzakoo watakujakukuchapabakoraa ww wadanganyetu

 • Saleh Dogo
  Saleh Dogo  1 months ago

  Ukimfunga ruvu.na mwarabu utamfunga lkn.kwamaneno.sovitendo

 • Paschal Haliye
  Paschal Haliye  1 months ago +1

  Alfaa akawe pastor kwa kipaji cha kikemea pepo.maana hko sio kuhamasisha ni kukemea pepo.

 • Isaya Kilindo
  Isaya Kilindo  1 months ago

  Haujuwi ulisemalo

 • enock daniel
  enock daniel  1 months ago

  msemaji ukapimwe utimamu wa akili mnachowezakushinda ni ubishi tu na baada ya hapo muingie kwenye makundi ya ng'ombe